Madamu: Flora Stanford Shimbi

Mkuu wa Shule ya Sekondari Itilima

Shule ya sekondari  Itilima ilianzishwa Januari, 1998 Kwa Usajiri  namba  S.789 ikiwa na Jumla ya wanafunzi 80, wasichana 40 na wavulana 40. Kwasasa Inajumla wanafunzi takribani 800 kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita. kuna michepuo ya sayansi na sanaa kwa kidato cha tano na sita kama PCM, PCB, HGK na HGL  

Shule Hii ni ya serikali iliyopo  Mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima kata ya Luguru kaskazin-magharibi mwa Tanzania, Ni sawa na kilometa 12 kutoka bariadi mjini au mwendo wa nusu saa kwa pikipiki. Au ni mwendo wa masa 2 kutoka Shinyanga mjini sawa na umbali wa kilometa 125

Shule  hii ni ya bweni kwa kidato cha tano na sita na kutwa kwa kidato cha kwanza hadi cha nne. Kwa kidato cha tano na sita ni wasichana na kwa kidato cha kwanza hadi cha nne ni mchanganyiko (wavulana na wasichana)

downloads

Taarifa ya maendeleo kitaaluma kwa kidato cha nne toka 2016-2024
Waraka wa Elimu namba(06) wa mwaka 2025 kuhusu kalenda ya mihula ya masomo kwa shule za awali,msingi na sekondari mwaka 2025
Kalenda ya mihula ya masomo kwa shule za Awali,msingi na Sekondari 2026
Tangazo kwa watumishi wote
NEWS AND EVENTS