Shule ya Sekondari Itilima ni Shule inayofanya vizuri kitaaluma Kwa kidato cha nne na pili  katika mitihani yake ya nje na ndani Mfano kama mitihani yaTaifa na mock mkoa au wilaya.  Shule. Daraja la ufaulu toka shule 2016 mpaka sasa 2025  lipo 85%  hadi  100%  . 

[expander_maker id="1" more="Read more" less="Read less" font-size=100px] Masomo yanayoongoza kwa ufaulu ni Somo la Kiswahili, kingereza ,  na somo la Kilimo. Masomo yanafundishwa kwa kidato cha kwanza hadi cha nne ni masomo ya sanaa, kilimo,  Sayansi na Biashara mfani  ni kama Fizikia, kiswahili, Kingereza, Litrature in english, Kilimo, Uraia, Jeografia, Hesabu, Kemia,Historia Angalia matokeo ya ya kidato cha nne na pili hapo chini[/expander_maker]
NECTA RESULT FORM TWO